5.6K
135K
228
24.8%
Unajua watu wengi hawajui kuwa kwasasa unaweza kuagiza gari na kukubaliana bei na dereva wako. Hata mimi nimi nimetumia sana magari ambayo hujui nauli itakuja shingapi mwisho wa safari. Chogo anajua, na mimi ninajua. inDrive wanakuwezesha kubageini na dereva wako kiasi cha nauli, wanakuruhusu kuchagua gari na dereva na sasa wapo Dar es Salaam. Pakua aplikesheni ya @indrive.tz kwenye AppStore au Playstore na utanishukuru baadaye. Ninawakubali kinoma. #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿 #viral
5.6K
135K
228
24.8%
Cost:
Manual Stats:
Include in groups:
Products: