madevujnr
Mar 14
126
946
15
28.2%
13th [March]ni siku ya kusherehekea maisha yangu, na najivunia safari niliyopitia na nina matumaini makubwa kwa yale yatakayokuja kama mteule wa Mungu, naamini kila hatua ninayochukua ina lengo la kumtukuza na kuleta mabadiliko. Nilichopitia kimejenga imani yangu, na kile kilicho mbele yangu ni chombo cha baraka kwa watu wangu. Hii huwa ni siku ya kutambua uwezo wangu na kuendeleza kazi yangu kama mwandishi wa filamu /SpokenwordArtist/Marketing & Branding/Film director/Kijana anayejihusisha na Tiba Asili[Dawa za kiasili:Dawa za Kisunah] Sina hofu ya changamoto, kwa sababu najua kwamba hakuna kinachoshindikana kwa mtu aliyetumwa na Mungu. Leo ni siku ya kujivunia mafanikio yangu, lakini pia ni siku ya kukumbuka kwamba safari yangu bado inaendelea. Kwa wale wote wanaoamini katika kazi zangu na wanazisaidia, nawashukuru kwa kila hatua mliyochukua nami. Tuendelee kushirikiana, tuendelee kupiga hatua pamoja na tutafanikiwa zaidi. Asante Yarabb kwa neema zako na asante kwa kila mtu anayeunga mkono ndoto zangu. Mwaka huu, tutaendelea kuwa na nguvu, tutaendelea kufanikiwa, na tutakuwa na maono mapya. Kwa pamoja, tutakuwa bora. #This is Yours:[A.C.MADEVU FILMS/A.C.MADEVU ONLINE TV]And No One Can Kill What God Anoited For Free✊✊#mombasatiktokers #followers #pwanitiktokers #kikambalatiktoker #pwanitiktokers #kikambalatiktoker #mtwapatiktoker #mombasatiktokers🌴 #creatorsearchinsights #madevufilms #kenyantiktok🇰🇪 #kenyansaudia🇸🇦🇰🇪 #tanzaniatiktok @@ODENCY_ATIENO @Director_kakoso @Ibrah Thedon @Dennis Balestar @hulky254 @chimamyreigns backup 001 @official--faiz10 @Yusramin230 @Anty Faa @ARAB GANDA @TRILLY TRILLIONAIRE
madevujnr
Mar 14
126
946
15
28.2%
Cost:
Manual Stats:
Include in groups:
Products: