mr.woooza
Sep 7
45
385
0.46%
Replying to @idontc198 Nimelelewa kwa upendo sana wanao nipende na kuniskiza ni wengi Zaidi ya wanao nichukia guys msiwai katishwa Tama 2 years back I was nothing but God na hawa watu mnaona walinilea coz they knew mbeleni nitakua nani na Everytime we meet bado wananiombeaga sana more blessing na Kuna watu wengi na inspire sana so nothing inaweza nikatisha Tama so to my fellow youths msiwe watu wa kuskiza watu wenye roho zao chafu wapo kwajli ya kukupoteza na kukukatisha Tama tu #mathare #question #kingwoza #Mrwoooza #dripmaster #cartoon47
mr.woooza
Sep 7
45
385
0.46%
Cost:
Manual Stats:
Include in groups:
Products:
