madiniclassic
Sep 21
1.4K
8K
9.27%
Kando na kukua shabiki mkubwa sana wa MADINI CLASSIC pia nina upendo kwa wasanii wenzangu na kuwashabikia sana, kuskiliza nyimbo tofauti na hata sometimes hua napost kwa upendo.But this song here by #HARMONIZE imenikumbusha mbali sometimes last year... When I was just waiting for my last breath, then akatokea dakitari mwenye tiba zake,nilikua nashindwa kufunguka kuongea na mtu yeyote nikamkuta tu kwenye Instagram stories as one of the viewers anyway that's astory for another day,UKIONA MTU amepagawa kama Mulamwa vile usimuone fala amini usiamini mapenzi yanaweza kufanya chizi ukaonekana hauna maana kabisaa ukapoteza mengi but when you finally meet the right person hua mambo yanakua tofauti sana.
madiniclassic
Sep 21
1.4K
8K
9.27%
Cost:
Manual Stats:
Include in groups:
Products:
