164
5.7K
0.53%
SERIKALI INAWAJIBU KUENDELEA KUPAMBANA NA UJINGA WA UMASIKINI NCHINI - TIBAIJUKA Mwanasiasa mkongwe ANNA TIBAIJUKA amesema Haya Ikiwa Leo ni maadhimisho ya sikukuu ya mapinduzi ya zanzibar bado serikali inawajibu kuendelea kupambana na ujinga na umaskini kwa kuwa umaskini upo chini ya mstari 30 % na kwa upande Tanzania bara umaskini ni chini ya mstari wa 26.7 ya umaskini TIBAIJUKA ameyazungumza Haya katika mdahalo ulifanyika katika chuo kikuu ya DSM uliohusisha wanafunzi wanasoma sayansi ya siasa @dupsa_udsm ambapo katika kuadhimisha mapinduzi zanzibar ameitaka jamii kujitambua katika kukabiliana ujinga ambao ndiyo chanzo kikubwa cha umaskini nchini Pia Mwanaharakati Wa Haki Za Binadamu Bi Annanilea Nkya amewataka vijana kutumia fursa mbalimbali za teknolojia na mawasiliano ili kuhakikisha wanajifunza mambo mablimbali yatakayo saidia kupata fursa. Baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho wamekuwa na maoni mseto juu ya kukabiliana na umaskini katika kuadhimisha mapinduzi matukufu ya zanzibar 🎥 ✍️ @official_bigben255 #WasafiDigital #WNews
164
5.7K
0.53%
Cost:
Manual Stats:
Include in groups:
Products: