buki_tz
Nov 6
14K
293K
375
281%
SEMENI KOSA LANGU LIKO WAPI HAPA? Hii ni sanaa na biashara kama biashara zengine na najua mara nyingi inaweza kuonekana kama tunavuka mipaka. Lakini kiukweli, hii ni kazi tu uhalisia ni jambo la muhimu sana kuzingatia katika maigizo. @JazlenTz baby❤️ Ninaheshimu sana 🙏hisia zako na naelewa inavyoweza kuwa ngumu kuona scenes kama hizi. WASANII WENZANGU mnawezaje kwenda location na wapenzi wenu? au ni mimi tu na huyu MPARE Wangu 🙌🏽🙌🏽
buki_tz
Nov 6
14K
293K
375
281%
Cost:
Manual Stats:
Include in groups:
Products:
