realjaymelody
Nov 4
10K
51K
13.8%
The Nakupenda Experience
Wakati natoa huu wimbo sikuwa nafahamu utabadilisha maisha yangu na career yangu kwa kiasi gani. Huu wimbo utabaki moyoni mwangu milele.
•
Watanzania waliuchukua wakaupenda na kuufanya wao, dunia nayo ikaamua kuuchukua pia. Nakupenda became an anthem everywhere.
•
Kukutana na wimbo wa kiswahili wenye maneno kibao ya kiswahili ukipendwa duniani sio kitu kidogo.
So wakati nawaza kuhusu video ya huu wimbo nikasema kama dunia imependa lugha yetu acha tuipatie na mandhari ya nchi yetu pia.
•
Unachokiona kwenye hii video sio story ya mapenzi ni experience ya mapenzi yenyewe kwenye nchi ambayo imejaa vivutio na watu waliojaa upendo usio na mipaka.
•
Nakupenda sio tuu wimbo ni experience iliyojaa hisia zote. Umeshaitazama video? Check kwenye bio yangu hapo juu.
•
Ahsanteni watanzania na kutoka moyoni nawaahidi vitu vizuri zaidi kwa ajili yenu.
Directed by @director_kenny
realjaymelody
Nov 4
10K
51K
13.8%
Cost:
Manual Stats:
Include in groups:
Products:
