100
1.57%
Msemaji wa Yanga Haji Manara usiku wa kuamkia leo amemuoa Mrembo aitwae Rushaynah ambaye hivi karibuni aliambatana nae hadi Bungeni Dodoma na kumtambulisha kuwa ni Msaidizi wake. Hii ni ndoa ya pili kwa Haji kuifunga ndani ya mwaka 2022 na ni ndoa ya tatu kuifunga ndani ya kipindi cha miaka miwili, ambapo ndoa ya kwanza aliifunga mwishoni mwa mwaka 2020 na ndoa ya pili aliifunga April 14 2022.
100
1.57%
Cost:
Manual Stats:
Include in groups:
Products: